Kikhamti

Kikhamti ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Myanmar na Uhindi inayozungumzwa na Wakhamti. Mwaka wa 2000, idadi ya wasemaji wa Kikhamti nchini Myanmar imehesabiwa kuwa watu 8000. Pia kuna wasemaji 5000 nchini Uhindi (2007) Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikhamti iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search